I MISS YOU 9 - 12

 I MISS YOU 9



Nathan alianza kubadirika kila siku baada tu ya kukutana na suzy kwa mara nyingine tena,reshma mara hi hakutaka kujibishana nae sababu tayari alishamfatilia na kujua nini kimembadirisha nathan tena,japo hakua akimpiga tena mwanzo lakini, alikua haonekani kua mwenye furaha muda mwingi alitamani tu wagombane Ili apate sababu ya kuondoka nyumbani.

Siku moja kulikua na mvua kuanzia asubuhi,vipindi vya jua vilikua vichache sana tofauti na mvua,siku hii suzy alikua anajiskia vibaya sana yaani alikua anahisi maumivu makali sana ya tumbo, uvumilivu ulimshinda hadi akaamua kumpigia simu nathan na aliweza kufika kwa haraka na kumfikisha hospital,baada ya kufanyiwa vipimo suzy aligundulika kuwa mimba yake iko hatarini sana hivyo bwana nathan asimfanye suzy kuwa mwenye huzuni maa zote na kwa muda wote ulibakia hadi atakapojifungua. Walirudi nyumban bwana nathan akiwa muangalifu zaidi kwa kila kitu kwa suzy.

Reshma aliandaa chakula na kukaa seblen akiwa anapitia baadhi ya barua za mr muran, alijikuta tu akitabasam kwa maneno ambayo yalikua yaneandikwa kwenye hizo barua,alikua bize sana na kurudia kuzisoma hizo barua mara ghafla simu yake ikaanza kuita,aligundua ni nathan ambae alikua anapiga Simu hakutaka kupokea kwani alijua tu lazima ataanza kufokeana bila ya sababu,aliacha simu ikiendelea kuita na kuingia chumbani kwake. Nathan aliingia ndani nda mchache mara baada ya kupiga simu,simu ya reshma aliona ipo sebleni na alipoingiza chumbani reshma akajifanya kua amelala lakini hakua amelala usingizi,maana alisikia movement zote ambazo alikua anazifanya mle ndani,nathan alivyoona reshma amelala alifunga mlango taratibu bila ya kutaka kumshtua kisha akaondoka zake,na alivyotoka tu reshma alitoka chumbani kwake akiwa tayari amejiandaa, alichukua simu yake na kufunga mlango kuondoka zake.


Usiku huo na mvua hizo za baridi zilimfanya mr muran kushindwa kujizuia aliamua kupitia katika moja ya sehemu ambayo wanawake wengi hujiuza na alifanikiwa kumpata msichana mzuri sana na kuondoka nae,safari yake iliishia kwenye kile chumba ambacho kilikua na lila kitu na kutokana na kilisharipiwa kodi ya mwaka mzima hivyo ikabidi tu kitumike,mr muran alifika hapo na kufungua mlango na kumkaribisha huyo msichana ndani ambapo aliwasha taa lakini alishtuka sana baada ya kumuona reshma hapo ndani.

"Mr muran!!!"

"Reshma!,unafanya nini hapa?"

"Anha samahani kama umekuja na mgeni wacha nikupishe tu samahani sana kwa usumbufu."

"Aah reshma tunaweza kuongea tafadhali usijari."

Mr muran alimzuia reshma asiondoke,na kumpa pesa yule msichana na kumruhusu aondoke kisha akarudi ndani na kukaa kwenye sofa alikua anaona aibu hata kumtazama usoni reshma,lakini reshma akamuuliza bila kupepesa maneno.

"Inamaana umeamua kuwa upande huu?,je unahisi utakua sahihi kwako?"

"Reshma,kila naempenda hanipendi sasa nitaishi na hamu hadi lini ikiwa hakuna wa kunisaidia?,reshma nimechoka sana kuumia bora nipate hata wa usiku mmoja huenda itakua nafuu kwangu."

"Anha sawaa lakini kwanini umemruhusu kuondoka wakati nilikua nataka kuwapisha?."

"Reshma siwezi kukuvunjia heshima wala kukuhukumu najua ujio wako lazima kutakua na jambo ambalo unataka kuniambia niambie."

Mr muran nilitaka kujua kuhusu uhusiano wako uliopita samahani sana lakini najikuta tu natamani kujua."

"Ooh kumbe, uhusiano wangu wa mwanzo ulianzia library ambapo nilikutana na kitabu cha kiswahili cha simulizi nikajikuta navutiwa na title ya kile kitabu na nikakichukua nilimtafuta sehemu nzuri nikaanza kusoma,kile kitabu niliweza kumaliza kwa siku moja sababu kilikua na karatasi chache sana hivyo nikamaliza lakini mwisho nikaona karatasi ambayo ilikua imeandikwa maneno ambayo yalinifanya nivutuwe zaidi na kutamani kujua kiundani zaidi kuhusu simulizi inayoendelea,hivyo niliatafuta karatasi ambayo na mimi niliandika kua nahitaji kupata vitabu vingi zaidi basi iliendelea hivyo siku najuta kitabu nasoma siku nakuta ujumbe hadi siku moja nikamuona muhusika ambae alikua anaandika jumbe zile nikajikuta tu navutiwa nae nae nikamwambia jinsi gani najiskia kwaajiri yake nae akanielewa,tukaanza kuzoeana kama marafiki na nikajikuta nashindwa kujizuia kwaajiri yake nikamwambia kua nampenda sana,nae hakuweza kukataa kwani alikua ananipenda pia,bàsi tulifanikiwa kufunga ndoa na tuliishi miaka mitatu bila kupata mtoto yeye alianza kunisema mimi kua nina tatizo ndiomaana simpatii mtoto lakini tukienda kupima tunaonekana tupo sawa wote,ola alianza vitu mara kwa mara hadi yeye mwenyewe akoamba nimuache ukweli niliumia sana sababu nilikua nampenda sana lakini sikua na jinsi,niliamuacha akaenda na nimepata taarifa zake kua tayari anawatoto wakubwa sana."

"Ooh pole sana umepitia maumivu makali japo sikutarajia kusikia kama umepitia haya maumivu pole sana."

"Asante nimepoa kabisa na nipo Sawa kwa sasa."

Waliendelea kupiga story za hapa na pale lakini reshma alijikuta tu anashindwa kusikiliza story hizo sababu nikama alihisi anabembelezwa na mr muran,na mara hii mr muran alipata wasaa mzuri sana wa kumtazama vema reshma,kifupi alikua mrembo sana sijui nathan alikua anakwama wapi kwenye kumuumiza huyu mtoto wawatu.


Amina akiwa kwenye gari na adam,adam alikua kimya sana amina aliamua kuvunja ukimya na kumuuliza.

"Adam mbona siku hizi za karibuni umekua na mawazo sana tatizo nini?"

"Amina nimechanganikiwa sana kuliko kawaida"

"Kwanini niambie huwenda naweza kukusaidia"

"Amina huwezi kunisaidia chochote sababu tatizo langu ni kubwa,humaira ameolewa na mwanaume mwingine kutokana na kushindwa kutimiza ahadi niliyomuahidi,moyo wangu unauma sana sababu nilikua nampenda sana."

"Ooh pole sana jamani adam lakini unajua mimi nitakusaidia kama utahitaji" Adam alimtazama amina kea kusema kua atamsaidia ikiwa atahitaji. "Utanisaidiaje amina?",adam alimuuliza amina,amina hakumjibu adam kwa kinywa zaidi ya kushika mkono wa adam kisha akavuta kifuani kwake,adam alijikuta anakua bize na kifua cha amina huku amina mwenyewe akiwa anaendesha gari,lakini adam akiwa bize na kutamani kumuinua chuchu za amina, amina alifunga break na kufunua kigauni alichokua amevaa,na kumfanya adam apagawe zaidi.

Baada ya mshike mshike wa muda karibia nusu saa kila mmoja alikua hoi kabisa,amina alishusha gauni lake vizuri na adamu pia alivaa boksa yake na surual yake,maana tayari akili zilirudi mahala pake kwa kila mmoja na baada ya hapo,hakuna aliyemsemesha mwenzie hadi amina alikimfikisha adam nyumbani kwao,wakati adam anataka kufungua mlango aweze kushuka kwenye gari amina alimshika mkono wake na kumwambia.

"Adam utakua wangu milele?, nakupenda sana." adam hakujibu chochote zaidi ya kumtazama tu amina kisha akashuka kwenye gari na kuingia ndani kwao.


Usiku huu adam hakuweza kupata usingizi Kabisa muda mwingi alikua anatazama picha za humaira na huyo binamu yake,na usiku huo ulikua usiku wa kwanza kwenye ndoa yake humaira.


Ilikua kwenye hotel moja kubwa ya kifahari mara baada ya kufika zanzibar kwa ndege mara tu baada ya kufunga ndoa,mume wa humaira alikua mwenye upendo sana na alijua wazi kua humaira hampendi,hivyo hakutaka kumsumbua alimuacha apumzike na yeye alikua bize na mambo yake,alikua anasoma kitabu chake,wala hata hakumgusa humaira hadi kufikia asubuhi.

Humaira alishtuka na kujikuta akiwa mwenyewe kitandani alipotazama upande wa huyo binamu yake hakuona kama pamevurugika ni wazi alikua mwenyewe,na muda mfupi tu mumewake aliingia chumbani hapo akiwa na mfuko mkononi mwake,alikua mtu poa sana na ni msomi pia kwa kawaida wasomi hawakurupukagi siku zote, alimsalimia.

"Assalamu alaikum!"

"Waaley kumsalam, umeamkaje?"

"Niko sawa japo shingo yangu inauma sana"

"Pole lakini hashim kwanini umenioa ikiwa unajua kwamba siku!!"

"Shiii!!," Hashim alimzuia humaira asizungumze kisha akamwambia.

"Najua unampenda mtu mwingine tofauti na mimi ola nilitaka tu kujiridhisha nilihisi huenda kwakua tumekua sasahiv huenda tungependana,hasa wewe sababu mimi nilikupenda tangu tukiwa watoto."

"Hapana hashim,bado siwezi kukupenda sababu moyo wangu hauwezi kubadirika."

Hashim hakusema kitu chochote kile kisha akamkabidhi ule mfuko na kuchukua koti lake la suti kwaajiri ya kujikinga na baridi na kitabu chake na kutoka nje.


Humaira alikua hana furaha hata kidogo akitazama picha ambayo alimtumia adam imeonesha tiki mbili tayari huko mjini whtsap lakini adam hakujibu chochote moyo wake ulizidi kumuuma sana na kuhisi adam hawezi kumpenda tena.


Haya sasa huku adam ashaonja penzi la amina,vipi kuhusu jay?, usikose itaendelea....


I MISS YOU 10

Hashim alipofika nje ya hotel alikua mtu mwenye mawazo sana hata kile kitabu hakukiona ni muhimu kabisa,alihisi kuishiwa nguvu kabisa kwenye miguu yake,aliamua kukaa kando ya lango la hotel hiyo akiwa mnyonge sana,maneno ya humaira yakiwa yanajurudia kichwani kwake alifura machozi yake kisha akachukua simu yake na kutafuta namba ambayo alisevu mama akatamani kumpigia lakini kidole chake cha kuruhusu kubofya kilikua kizito sana kwenye kufanya maamuzi,hashim alirudisha simu mfukoni na kusimama na kurudi tena ndani, alipofika ndani alimkuta humaira hajalala,hashim alishangaa sana lakini hakutaka kumuuliza sababu angeambulia tu majibu ya maumivu.


Alikaa kwenye kiti na kitabu kuweka mezani akiwa anamtazama humaira akamwambia.


"Humaira siwezi kukuzuia kufanya chochote kwakua huna mapenzi na mimi,ila siwezi pia kukupa taraka sababu mama yangu ataumia sana kwaajiri ya mwanae hata wazazi wako hawatakiwi kujua hili nakuruhusu nenda kwa unaempenda."


Hashim akizungumza kwa ujasiri sana halo moyoni alikua anaumia sana hata humaira pia alikua anaona jinsi hashim anazungumza lakini hakujari kuhusu maumivu yake alichojari ni kuhusu furaha yake tu,baada ya kuona hashim amemruhusu alifurahi sana lakini hakuamini kabisa kama kweli amemruhusu maana alimsogelea na kumuuliza mara mbili mbili.


"Hashim kweli hutomwambia mtu yoyote kama nimeondoka na kukuacha?."


"Humaira kuishi na mtu usiempenda ni kama kifungo sitaki unichukie zaidi mwisho wa simu tukaja kufanyiana mambo mabaya nakuruhusu nenda humaira."


Humaira alisimama na kuvua ile nguo ya kulalia mbele ya hashim na kuvaa gauni ile ile ambayo alimletea hashim kisha akataka kuondoka hashim akamwambia.


"Huwezi kuondoka usiku huu nitakua na wasiwasi na wewe ondoka na boti ya sa3 sababu tayari nimeshazungumza na muhusika."


Humaira alizidi kushangazwa na mambo anayofanya hashim kwaajiri ya kutimiza furaha yake,humaira alirudi kitandani akakaa kitako,lakini muda huu hashim aligeukia mezani na kuinamisha kichwa chake kwenye meza,humaira alimtamzama sana na kuanza kumuhurumia wakati anajiuliza moyoni.


"Hashim anaonesha wazi kua ananipenda na yupo tayari kunitoa kwa mwanaume ninaempenda je kama adam atanikataa ataweza kunipokea?,najua hatoweza lakini kama adam atanikataa bàsi siwezi kurudi tena kwake sababu najua hatoweza kunipokea,aah vyovyote."


Humaira alipotezea na kujifunika shuka,hashim alilia sana lakini machozi yake hayakua na wakumfuta hatimae alipitiwa na usingizi.


Asubuhi mapema simu ya adam ilianza kuita adam aliipapasa kitandani kwake hadi alipoipata simu yake akaipokea bula kutazama nani alikua anampigia na kuweka skioni,sauti nyororo iliyopenya maskioni make ndio ulimfanya afumbue macho yake na kukaa kitako.


"Amina unanini?,mbona unanisisimua asubuhi yote hii?."


"Adam jaman me mwenyew nimeshindwa kujizuia naomba uje nyumbani tafadhali nina hali mbaya."


Simu ilikatwa na kumfanya adam awe na ashki maana sauti ya mahaba kutokea kea amina nae ilimsisimua sana hadi uume wake ukasimama vema kama mnara kwakua ulikua simu ya mapumziko adam akaiona isiwe shida akajiandaa na kuelekea nyumbani kwa amina, alipofika aligomba mlango amina alifungua akiwa amevalia mtandio mwepesi sana ambao ulikua unaonesha kila kith ndani na vile mwili wake ulivyojikata taka hata adam nae alishindwa kuzuia macho yake kumtazama amina.


"Karibu,adam." Alizungumza kwa sauti ya chunk yenye huba ndani yake adam nae surual yake ikaamka kutamani shambulio la ghafla,hata hiyo adam nikama alisema asante kupitia surual yake,amina alivyomtazama na kugundua adam anaona aibu alipiga hatua mbele na kujifanya kama ameteleza,adam nae aliwahi kumdaka kabla hajafika chini na amina hakuacha lipite hivi hivi akajiongeza mtoto wakike.


Alimkumbatia kwanguvu huku akiongea kwa kudeka,adam alijifanya amekaza japo surual yake ulikua inaeleza hali halisi lakini akajifanya anakataa kwa kusema.


"Amina mimi na wewe hakuna chochote kinachoendelea na jana ilitokea bahati mbaya tu hivyo usifikirie kufanya ujinga wowote."


"Ooh sawa adam usijari,sababu najua kama hakuna chochote kinachoendelea baina yetu."


Amina alizungumza hivyo huku akijitoa kwenye kumbato na hakutaka kujivunga baada ya kujitoa kwenye kumbato alimsukuma adam kwenye sofa na kisha akamlalia kwa juu na kuanza kula denda huku akiendelea kushikwa sehemu nyeti za bwana adam,adam alijifanya amekaza lakini baada ya ufundi wa mtoto amina kwa sekunde chache tu adam alianza kugugumia kama mbuzi kwa raha alizokua anazipata.




Amina alimtazama na kusema.


"Leo ndio leo sikuachi hadi maji yote mma mjinga wewe" amina aliendelea na ufundi wake hadi adam alikojoa mara mbili bila hata ya kupata joto la uke wa amina, amina akajisemesha moyoni sasa ni muda muafaka kabisa wa kumfanyia utundu zaidi....




Mr muran aliamka mapema sana kabla ya reshma,aliingia bafuni kwaajiri ya kuoga na kuweka mwili katika halo ya usafi kisha akarudi na kuvaa nguo zake kisha akatoka,mara baada ya kuondoka mr muran reshma nae aliamka na kutazama eneo lote lakini hakumuona mr muran,akitazama sana kwenye simu yake akagundua ilikua bado sa moja,alijinyosha kisha akasimama na kutaka kuondoka zake lakini alipogusa kitasa na kutaka kufungua mlango,mr muran tayari alifungua mlango na kujikuta akitabasam na kusema.


"Waoo hatimae umeamka."


"Ndio,habari ya asubuhi."


"Nzuri sana, nilitoka mara moja kwaajiri ya kununua kifungua kinywa hebu njoo."


"Mr muran,lakini!!!"


"Noo reshma njoo unywe chai."


Reshma alikubali alisogea na kukaa kwenye sofa,mr muran akamuuliza.


"Mbona huli?."


"Sijaoga wala kuswaki nakulaje,sikia najua wewe hujala pia kula mimi nakwenda nyumbani nitaandaa kifungua kinywa nitakula."


Mr muran alimtazama reshma kisha akamwambia.


"Sawa ila nataka kujua kwanini usiku umelala hapa?."


"Aah mr muran!"


"Niambie ukweli,reshma."


"Mr muran, nisamehe kwa kukuumiza nilirudi kwa mumewangu na kuhisi atabadirika ni kweli alibadirika baada ya kumsamehe lakini ghafla amerudia tena mambo yake yale yale ambayo alikua akiyafanya mwanzo, sasahivi nahitaji kua mwenyewe,nataka kumtafuta mama yangu mzazi ambae tulipotezana kea muda mrefu huenda yeye atakua faraja kwangu."


"Aanh pole sana reshma,lakini lingine limenisismua baada ya kusema mama yako mzazi inamaan hujui mama yako mzazi yuko wapi?."


"Ndio ni story ndefu sana,ila kama utanisaidia basi nitashukuru."


"Aah reshma nataka kukuuliza,lakinis samahani kama nitakukwaza,alikua amekuoa huyo mwanaume?."


"Hapana,tulikua tunaishi tu kama mke na mume hatukuweza kuona sababu in zetu zilikua tofauti."


"Ooh Sawa,nitakusaidia kumtafuta mama yako lakini niahidi kama hutorudi tena kwake."


Reshma alimtazama muran ambae nae alikua anamtazama, kusubiri majibu ya reshma,reshma alikua akwa muda mrefu sana kufikiria jinsi ya kumjibu mr muran,mr muran nae aliendelea kumkazia macho aweze kupata jibu reshma akakubari.


"Ndio nipo tayari Kufanya hivyo ili tu nimtafute mama yangu au nipate taarifa yoyote kama ni mgonjwa au mzima."


Mr muran alifurahi sana alisogea karibu na reshma kisha akaweka kichwa cha reshma kifuani kwake na kumuahidi kua kila kitu kutakua Sawa.


Hashim alimpeleka humaira bandalini,na kumuaga huku machozi yakiwa yanamtoka kama mtoto wa kike kwaajiri humaira,humaira hakutaka kutazama nyuma alichojari ni kuwa anakwenda kukutana na mpenzi wake adam basi.


Baada ya kupanda kwenye boti hashim aliondoka na safari yake iliishia kwenye hospital ambayo alikua anafanya kazi kama daktari, aliingia ofsini kwake na kumkuta rafiki yake alishtuka kumuona happy alimuuliza.


"Kaka vipi umekuja kazinI ikiwa leo ndio siku ya tatu kwenye fungate yako?."


"Kaka hakuna ndoa,kama nilivyokuambia humaira hanipendi kabisa japo nilitaka nijaribu lakini ni wazi nitazidi tu kumfanya anichukie wacha tu owe hivyo."


"Na vipi kuhusu naifati?."


"Naifati ananipenda lakini simpendi kabisa,na nilitaka kuona muweze kumkatisha tu tamaa asiwe na mategemeo na mimi."


"Daah! Sawa hashim basi ila we nenda bwana hadi umalize hizi saba ndio uje ofsini lasivyo kutakua na maneno ya chini kuhusu wewe."


"Sawa kaka kwaheri."


Hashim aliondoka na kumwacha rafiki yake akimsikitikia sana.




Humaira alifanikiwa kufika jijini dar es salaam mapema sana na alichukua tax hadi nyumbani kwao adam kwa mama yake aligomba mlango na kufunguliwa mlango na mama yake adam alimsalimia kwa furaha sana mama adam.


"Shikamoo mama,habari za siku kadhaa."


"Nzuri binti unaendeleaje?."


"Vizuri sana mama,ada..!"


"Mumeo hajambo?."


Swali hilo lilimkatiza tamaa kabisa humaira na kuanza kuona aibu,lakini mama adam aliuliza tena kwa misistizo.


"Mumeo hajambo??."


"Aah mama ,sina mume,alimuoa lakini sikumpenda, nampenda sana adam mama."


"Binti yangu lakini adam ameshakata tamaa kuhusu wewe."


"Mama tafadhali usiseme hivyo tafadhali naomba niambie adam wangu yupo wapi?."


"Adam aliondoka asubuhi sana alikwenda nyumbani kwao mfanya kazi mwenzake huko alisema kuna kikao."


Humaira alisimama haraka na kuelekea nyumbani kwa amina anapafahamu sababu adam alishawahi kumuonesha kabla hajaolewa,maana amina alikua anamzuia wifi humaira.


Alifika na kugonga mlango aliyefungua alikua ni kidume adam ambae alikua amejifunga upande wa khanga wa amina na kifua kukiwa wazi, alishtuka sana kuona sura ya humaira eneo hilo,hata humaira pia alishindwa kuelewa inamaan kikao kinafanyika wakiwa wamekaa khanga?..


usikose itaendeleaaa...


 I MISS YOU 11

Walijikuta wakitazamana bila ya kuzungumza chochote mara amina alisogea mlangoni huku akisema.


"Baby mayai tayari." Aliposogea mlangoni na kumuona humaira akajikuta akishangaa pia mwisho akamuuliza.


"Unafanya nini hapa?."


Uso wa humaira ulikua umetawaliwa na machozi kana kwamba kulikua na mvua na mvua za masika,adam alimuhurumia sana,amina alitaka kumfukuza lakini adam akasema.


"Amina usifanye hivyo huyu ni mgeni wetu, humaira karibu ndani."


"Adam, sikutegemea kama ungeweza kunisahau kwa haraka kiasi hiki moyo wangu haukua tayari kukusaliti hata siku moja lakini umeshindwa kunipa muda walau siku chache niweze kulitatua asante sana adam."


Humaira alirudi nyuma kisha akaondoka kwa kukimbia huku akiwa analia sana,adam aliumia sana kuona humaira anaumia kwaajiri yake,adam alivua ile khanga na kuitupa huko akawa anavaa surual yake aweze kuondoka amina akamzuia na kumwambia.


"Adam wewe ni mwanaume na unapaswa kufanya maamuzi ya kiume,ni sawaa mlipendana lakini ulishindwa kwenda kwao sababu ya uoga,nae alishindwa kuzuia ndoa kupita sababu ya kuwaheshimu wazazi wake,lakini alipaswa kufikiria na maumivu ambayo ungepitia,lakini hakufikiria na kuamua kukutumia picha ambayo alihisi itakuumiza hivi mpaka hapo bado ulikua hujamuelewa tu?,adam kumbuka yule na wewe ni tofauti,kimaisha,lakini tazama mimi na wewe tunaendana sababu hali zetu zinafanana, tafadhali adam usijaribu kunitenga nakupenda."


Adam nikama yalimuingja vema maneno ya amina,alikaa kwenye sofa kwa muda bila ya kuzungumza chochote kile, humaira alifika kituo cha daladala na kukaa alilia sana kando kulikua na mkaka ambae alikua anamtazama sana tena kwa kumuhurumia,alinunua maji na kumpatia humaira alimshukuru sana kijana huyo akayanywa yake maji,akataka kuondoka lakini kijana huyo akamwambia.


"Pole sana,nimekuona ukiwa unakuja ukiwa unalia japo sijui nini kinakufanya ulie,lakini naona kama haupo sawaa je naweza kukupa kampani?."


"Asante sana lakini hapana usijari."


Humaira alisimama na kuondoka zake yule kaka hakuacha kumfata humaira.




Mr muran na reshma nao muda mwingi walikua wanazungumza na siku hiyo ilikua kama spesho kwao,walicheza mila aina ya michezo lakini reshma akiwa na hesabu ya kuwa mr muran ni rafiki yake tu sababu hakutaka tena kuwa na wazo la kua na mpenzi wala kuingia kwenye mahusian tena.


Mr muran alikua anampenda sana reshma na macho yake kikao alipokua anamtazama reshma yalidhihirisha wazi kua amejawa na penzi la reshma.




Ilikua majira ya jioni mvua ya taratibu zilianza na hatimae mvua iliongezeka na kuwa kubwa,humaira alikua amejibana kwenye moja ya ukuta akiwa mwenyewe alikua anaogopa kwenda nyumbani kwao aliogopa sana kuhusu wazazi wake kumuuliza hivyo hakutaka kabisa kwenda nyumbani kwao,lakini akiwa amejibana hapo mara kuna mwanaume alifika na kusimama mbele yake,humaira alianza kumtazama kutoa miguuni hadi juu, alishtuka sana,lakini hakutaka kujiuliza kwanini yupo hapo na ni muda gani amefika na alijuaje kama atakua hapo humaira hakujari alimsimama na kumkumbatia kwa nguvu sana huku akitetemeka barid kisha akasema.


"Nashukuru Mungu umekuja hashim,asante Mungu bila kuja sijui ningekua na hali gani."


Hashim hakua muongeaji alimchukua humaira hadi hitelini alimkabidhi tena nguo za kubaidirisha maana alizokua amevaa zilikua zimeloa,humaira alichukua nguo hizi na kubadirisha kisha akakaa kwenye kitanda lakini akiwa bado anatetemeka sana,hashim akamwambia.


"Pole sana humaira,sikutaka upitie hayo yote lakini niliahidi kua nitakurinda na ndio nachokifanya."


Humaira alisimama na kumkumbatia hashim kwanguvu sana hadi hashim miwani yake ikaondoka lakini hakujari nae alimkumbati humaira,kisha akamtazama usoni ambapo humaira alionesha kua anajuta sana kurudi kwa adam,hashim alimkumbatia tena na tena kisha akasema.


"Unatakiwa upumzike kesho pia tutakua hapa,jumatatu tutarudi zanzibar."


"Hashim sitaki kubaki hapa tena nataka kuondoka na wewe tafadhali nakuomba."


"Sawa bàsi njoo ulale."


Hashim alimlaza humaira kitandani na kutaka kusoma kitabu chake lakini humaira hakutaka kumuacha hashim,hadi mwenyewe alishangaa na kuzungumza.


"Humaira pumzika kwanza nataka...!"


 Kabla hajamaliza kuzungumza chochote humaira,aliamka na kumsogelea hashim na kum'busu kwenye lipsi zake kisha akamwambia.


"Nisamehe sana hashim najua nimekuumiza sana,tena kwa muda mrefu lakini sasa kila kitu kimeisha nataka kubaki na wewe naomba niwe wako milele."


Hashim alitamani kupiga kelele chumba kizima lakini alishindwa akamkumbatia humaira,humaira nae hakutaka alale mwenyewe alifanya mautundu yake hadi kijana wawatu akabikiriwa,humaira alipitiwa na usingizi lakini hashim alikua ni kama haamini kilichotokea Kati yake na humaira,lakini ilikua hivyo.






Asubuhi ya siku hii reshma aliamka mapema na kufanya usafi wa ndani na nje kisha akaoga maji na kumwamsha mr muran pia,hawakua wamelala pamoja,reshma alilala chumbani na mr muran alilala seblen,baada ya kumwamsha nae akajiandaa kisha wakatoka safari yao ilikua ni kama shopping ya kununua but kadhaa.


waliingia kwanza kwenye duka la nguo za wanawake,reshma alikua anafuraha mr muran hakutaka kumfanya kua na huzuni alifanya kila alichokua anataka kukifanya,na walipokua wanataka kutoka nje ya duka hilo reshma alishtuka baada ya kumuona msichana ambae alikua anamfananisha sana,alikua anamtazama kea muda kadhaa,mr muran alifungua mlango wa gari na kutaka kuingia na alipotazama upande wa pili hakumuona reshma na alipogeuka alimuona reshma akiwa anamshanga a msichana huyo na waliposogea karibu yake reshma akasema.


"Samahani,ndugu wewe ni!"


Huyo msichana hakua mwingine alikua humaira na hashim,na alipomuona reshma pia alimkumbatia kwanguvu sana ni wazi alimfahamu pia,mr muran nae alisogea na kuzungumza.


"Kumbe mnafahamiana?."


"Ndio huyu msichana alikua mpenzi na adam."


"Nikweli lakini dada reshma sasahivi tayari nimeolewa na huyu ndio mumewangu,anaitwa hashim."


"Waoo jina zuri sana."


Reshma na hashim walipeana mikono lakini reshma alijikuta tu anashindwa kuacha mkono wa hashim nikama kulikua na mvutano Kati yao,mr muran akawa achanisha kisha akataka kuondoka na reshma lakini reshma akagoma kuondoka na kusema.


"Humaira nataka kuzungumza na wewe hata leo ikiwezekana naomba usiondoke tafadhali bila kuongea na mimi."


"Lakini dada sisi tunaondoka baada tu ya kununua nguo."


Reshma alimtazama hashim na akamtazama mr muran na kusema.


"tafadhali mtupatie familia kadhaa."


Kweli waliweza kukaa sehemu ya utulivu na kuanza kuzungumza nae.


"Niambie humaira ilikuaje na adam,na huyu hashim rafudhi yake ni ya pemba kabisa inamaan ndio unaishi pemba na wewe?."


"Ndio dada na imetokea tu baada ya baba kusema kua shangazi kijana wake amerudi kutoka masomoni na hakuna aliyemfikiria kumuona zaidi yangu japo nilikua sitaki lakini kama unavyojua."


"Sawa nimekuelewa ila nikama sura yake sio ngeni kwangu."


Humaira alitoa simu yake na kumuonesha picha za utotoni na picha za ukubwani pia reshma alishika moyo wake baada ya kuona unaenda mbio sio kawaida,humaira alishtuka sana baada ya kuona hali imekua tofauti aliweza kumuita hashim na mr muran na kumfikishia hospital kwa haraka na baada ya kumfanyia vipimo vya kutosha,wakaambiwa ni presha yake tu ilipanda na walipopata ruhusa ya kumuona reshma alimkumbatia hashim kwanguvu sana hadi mwenyewe alishangaa sana,mr muran akamuuliza.


"Reshma tatizo nini?." Maana alikua amemkumbatia akiwa analia pia,reshma akajibu.


Mr muran mdogo wangu,hashim ni mdogo wangu ambae tulipotezana kwa muda mrefu tena akiwa mdogo sana."


Hashim nae alishtuka baada ya kuskia vile japo alishindwa kuamiani maana ilikua ghafla sana kuliko kawaida.




Walimuacha reshma apumzike na wao walitoka nje kisha mr muran akamuuliza hashim.


"Unakumbuka chochote kilichotokea mkiwa wadogo?."


"Sina kumbukumbu sana lakini mama yangu aliniambia kua waligombana na baba kisha baba aliondoka na dada na mimi nikabaki na mama,na mara kadhaa mama pia alikua anashtuka na kusema amemuona dada ndotoni,lakini nilikua simfatilizi kile alichokua anasema."


"Poleni sana na kama ni hivyo basi inatakiwa twende kumuona mama kwanza maana reshma pia amekua akisema kua ndiomaan mambo yake hayaendi huwenda anahitaji kupata baraka za mama yake."




Walisubiri kwa massa matatu kisha reshma alipata ruhusa na hawakutaka tena kupoteza muda,moja kwa moja airport walifanikiwa kwenye zoezi la tiketi kisha wakaondoka zao.


Walifika zanzibar na kuchukua tax hadi kwenye nyumba ambayo alikua akaishi mama yake hashim na baada ya kufika tu mama huyo baada ya kuwaona, alimkumbatia reshma huku machozi yakiwa yanamtiririka usoni kwake,huku akisema.


"Mwanangu nilikua naswali na kumuomba Mungu kila siku kama uko hai atukutanishe na leo hii dua zangu zimejibiwa,nimekuona tena binti yangu,nilikukumbuka sana."


Mama huyo alishindwa kabisa kujizuia machozi yake mbele ya binti yake.




Baada ya muda mfupi kupita chakula kiliandaliwa wote wakajumuika kwa pamoja walikua chakula na kutoa shukrani kwa mpishi mr muran akazungumza.


"Mama mimi naitwa muran ni mtoto wa bars huko,nikukutana na reshma kwa bahati tu na hadi sasa tumekua narafiki,binti yako amepitia mengi hadi kufikia sasa aliniambia kua hajui baba yake yuko wapi maana alimterekeza mara baada ya kufika kule,aliishi kwankutanga tanga akampata mwanaume ambae ni wa dini tofauti waliishi pamoja lakini hakuwahi kumuonesha upendo wa kweli na alikuja kwangu na kuomba nimsaidie kukutafuta lakini kabla ya kuanza mchakato tunakutana na humaira msichana ambaye alikua anamfahamu hivyo ikawa rahisi kumtambua mdogo wake."


Mama huyo alifurahi sana na kusema.


"Asante sana muran kwa kua na binti yangu,sijui nikuripe nini."


"Usijari mama nimefanya kile nilichopaswa kufanya,na ninaona muda umeenda sana kesho natakiwa kuingia kazinI mapema sana, naondoka sasa."


Mr muran alisimama na kutaka kuondoka reshma nae akasema atamsindikiza,walivyofika tu nje reshma alimkumbatia mr muran na kumwambia.


"Asante sana kwa msaada wako, nakushukuru sana kwa wema wako."


Mr muran alimtazama reshma bila kusema chochote akapiga hatua kuondoka kinyonge...


 I MISS YOU 12

Mr muran alipiga hatua kinyonge sana, reshma akamuita.


"Mr muran!!."


Mr muran aligeuka na kusogea karibu na reshma na kushika mikono yake kisha akasema.


"Natumai kua huu sio mwisho wetu, natumai tutaonana tena."


"Hakika mu..." Kabla hajamaliza kuzungumza chochote mr muran alimshika kiuno reshma na kumpa denda,ambapo wakati jambo hilo linatokea humaira alishuhudia na kurudi ndani haraka sana,huku nje reshma anaanza kupagawa na mr muran kila alivyotaka kuondoka reshma alimzuia na kutamani aendelee kubaki akiwa ameshika kiuno chake,hadi sauti ya mama yake iliposikika ikiita reshma,ndipo mr muran akamuachia reshma kiuno chake,na kumnon'oneza sikioni na kuondoka zake, reshma alirudi ndani akiwa na tabasam sana,humaira alikua anamtazama tu reshma maan alishaona jinsi wanavyopeana denda.




Amina na adam penzi moto,hadi adam akaamua kumpeleka amina kwa mama yake na kumtambulisha kua ndio mchumba wake ambae atamuoa siku zijazo,mama yake hakua na pingamizi alichoraka ni kuona kijana wake anafuraha tu.




Siku zilizidi kwenda,wiki,mwezi hatimae miezi mitatu,ikapita ambapo tayari reshma alikua amemkumbuka sana mr muran,mwanzo walikua wanawasiliana vizurii lakini baadae mawasilian yalikata ghafla hapo reshma alianza kuwa na hofu sana kuhusu mr muran,maana alihisi amepata mwanamke mwingine lakini haikua hivyo.


Siku moja aliamua kuja dar kuhakikisha,alifika majira ya usiku na moja kwa hadi kwenye ile sehemu ambayo walikua wanaishi yeye na mr muran kwa muda mfupi akasikia harufu ya mapishi moyo wake ulienda mbio sana na kujiapiza kua chochote kinaweza kutokea.




Alifungua mlango akashtuka kumkuta mr muran anapika huku akiimba, alikua amevalia mtandio wa reshma, aligeuka mlangoni maana reshma alifungua mlango kwa nguvu sana lakini alishangaa sana kuona mr muran wala hakua na wasiwasi kabisa alizima jiko na kumsogelea reshma ambae alionekana kupungua mwili mr muran alimnyanyua reshma kisha jamaa nae kwenye kiti na kumsalimia kwa mabusu kwanza, reshma alikua hana amani kabisa alihisi lazma kutakua na mwanamke akajifanya anataka kuoga,mr muran akamruhusu,reshma alipoingia chumbani hakuona dalili yoyote ya kuwa aliingia mwanamke akavua nguo na kuvaa tauro na kuingia bafuni alioga maji na alivyotoka tu bafuni mr muran hakutaka kuacha hiyo siku ipite kirahisi alimkumbatia kwa nguvu mara tu baada ya kutoka bafuni,reshma alijifanya kukataa lakini moyoni alikua anatamani sana maana tayari ilishapita miezi minne bila kutest mitambo ukiachilia mbali miezi mitatu aliyokua amekaa zanzibar alivyotoka dar kwenda zanzibar tayari alikua na mwezi mmoja bila kukutana na mwanaume kimwili.




Bàsi mr muran na vile alikua na ugumu wa muda mrefu siku hiyo alimaliza misukosuko yake yote kwa reshma,wote walikua wamechoka sana,mr muran alimshukuru sana kwa ujio wake na kumwambia.


"Asante sana kwa kuja nilijua tu utakuja nilifanya kusudi kuto kukutafuta nilijua utakua na wasiwasi na hatimae umefika nimefurahia sana reshma nimeinjoy sana penzi lako."


"Mr muran unanipenda?."


"Sana tena zaidi ya neno lenyewe na kuthibitisha hilo nitakuoa reshma."


Reshma hakuamini kabisa kama mr muran angesema vile,usiku wao ulikua mzuri na ulikua mfupi sana kutokana furaha iliyopitiliza.


Zilipita siku mbili reshma alikua hataki kurudi kwa mama yake ni wazi alikolea na penzi la mr muran,na mr muran nae alikua anampa radha tofauti hivyo ndio alizidi kumpagawisha mtoto wa mama mkwe.




Amina alipata ujauzito na adam na wao baada ya kugundua hilo walifunga ndoa mapema sana,na walikua wanaishi pamoja,bado adam alizidi kufanya kazi bandalini na mr muran alikua anatoa msaada kea amina maana alimchukulia kama mdogo wake tu.




Hatimae mwezi mzima reshma alimaliza akiwa na mr muran,Ilikua jumamosi asubuhi mr muran aliamka na kumwamsha reshma ambae alionekana kuwa mchovu sana,mr muran alimwamsha na busu lakini ghafla reshma alijiskia kichefu chefu na kukimbilia washroom,mr muran alikua na wasiwasi alimfata na kumuuliza.


"Mkewangu kama unajiskia vibaya twende hospital, unajua sipendi ukiwa unaumwa najianddaa tunaenda wote hospital."


"Lakini siumwi muran tafadhali."


"Hapana tunaenda."




Kweli reshma hakuona sababu ya kupinga sana walifika hospital na baada ya kumfanyia vipimo vyote daktari alitoa majibu kua hana homa yoyote, daktar alipendekeza wapime mimba,mr muran hakuwa na sababu ya kukataa ikiwa daktari amependekeza walisubiri baada ya dakika kadhaa ndipo daktari alisema kua reshma ni mjamzito mr muran nikama alikua haamini akauliza mara mbili mbili.


"Daktari una uhakika na unachokisema?."


"Ndio mimi ni mtaalam na siwezi kudanganya."




Mr muran alifurahi sana kwanza alipiga magoti na kumsikiliza tumbo la reshma,kama ataskia chochote lakini hakusikia chochote hadi reshma nae hakua akiamini kama kweli ana mimba,mr muran muda wote alikua anashuka tumbo la reshma na kuzungumza.


"Mwanangu yaani hujui tu jinsi gani wazazi wako tulivyo na furaha tunatamani sana uwepo wako."


Daktari alikua anafurahi na vituko vya mr muran,akawapa njia salama za kujikinga,na kuhudhuria klinicki kila itakpofika tarahe husika.




mr muran akasema.


"Reshma nampigia mama leo namwambia nataka kukuoa na sitaki kutumia muda mwingi sana kwenye hili nataka niwe na wewe muda wote."


"Sawa mpenzi ikiwa wewe unasema hivyo kwanini nipinge."


Maneno ya reshma yalimfanya mr muran ajiskie fahari kua na mwanamke kama reshma.




Kwakua hakutaka mambo yawe mengi alifanya taratibu zote na hatimae ndoa ilifungwa wakihudhuria ndugu zao wakaribu na majirani pia.


Mara baada ya saba kuisha mama yake reshma alifika dar kuweza kufahamu ni wapi binti yake anaishi walikua wanaishi pale pale kwenye chumba na seble lakini baada ya mr muran kuona familia inataka kuongezeka akanunua nyumba nyingine kubwa sana, na kuandika jina la reshma kwa furaha yake tu kwa kumbebea mimba.




Nathan na suzy walikua wanajikongoja na mimba ya suzy tayari ilikua kubwa sana,siku moja wakiwa wamekaa nathan alimuuliza.


"Suzy nataka kujua wazazi wako mimi nawewe tunaishi lakini siwajui wazazi wako,na una mimba sasahivi tena uzao wako wa kwanza tafadhali naomba niambie wazazi wako wapo wapi?."


Swali la nathan ni kama lilimfanya aumie sana suzy,nathan alimbembeleza na kumwambia.


"Nisamehe sana kama ningekukosa lakini nimetaka tu kujua,maana uzazi unamambo mengi sana."


"Wazazi wangu wamefariki nathan sina wazazi."


Jibu la suzy ni kama bado halikua Sawa lakini nathan hakutaka kumfanya suzy ajiskie vibaya sana kutokana na hali ambayo anayo.




Mwezi wa pili kwa reshma walienda clinic na mr muran na mwezi huo pia ulikua mwezi wa suzy kujifungua,reshma alifika clinic mapema sana,na mumewake walihudumiwa vizuri na kupewa taarifa kua mtoto anaendelea kukua vizuri,na waendelee vyakula vya kujenga mwili kila siku,mr muran alikua anawafurahisha sana manesi kwa maswali yake,ya kitoto.


Wakati wanatoka clinick mr muran alimuona mama mjamzito ambae alikua kwenye uchungu wakati mr muran akimtazama mama huyo jinsi alivyokua anaonesha jinsi anavyoumia reshma alikua amemuona nathan alimtazama na kutamani kuzungumza nae lakini mr muran alimchukua reshma na kuondoka nae huku akisema.




"Nashangaa sana kuona mtoto akimtukana mama yake au akifanya jambo la kumuumiza mama yake motor,angelikua anajua machungu aliyopitia kind anazaliwa naamini kila mmoja angekua hapaswi kumfanyia ubaya mama yake."


"Mpenzi binadamu tunaweza kufanya jambo na tukalisahau kwa muda mfupi sana yaani hata iweje lazima utasahau hivyo ndio unavyojua."


"Hapana reshma siwezi kusahau, maumivu hayasahauliki kabisa."


"Sawa nimekuelewa."




Nathan alikua hospital alikua ametaharuki maana suzy alikua analia kwa uchungu sana na ukizingatia hakukua na mtu yoyote ambae alikua anamfahamu katika upande wa familia ya suzy,na suzy kila alipokua anataka kutoa mtoto,mtoto alikua anarudi ndani inamaana alikua anapitia maumivu makari sana,hari akaomba aitiwe mama yake aweze kuimba msamaha,nesi alifika kwenye chumba cha kujifungulia na kumwambia nathan akamuite mama yake suzy ambae nina alilotajiwa ni wazi hakikua geni kwake, nathan alikua mwenye mshangao sana maana alimuuliza kuhusu mama yake lakini alimwambia kua mama yake na baba yake wamekufa baada ya kuambiwa kua anahitajika mama yake alishtuka sana.




Nathan alifika hadi kwenye sehemu husika akagonga mlango,aliyefungua alikua adam,adam alimuuliza nathan.


"Unataka nini?,mkewako hayupo hapa, ondoka."


"Aah adam mama yako,anahitajika hospital."


"Nini?,kivipi na nani anamuita?."


"Su!! suzy,sussuzy ni mama yake na mama yako"


Adam alikua amuelewi kabisa nathan na mama yake pia alisogea mlangoni kutaka kujua wanshindana nini na baada ya kumuona nathan akataka kufunga mlango lakini nathan akasema.


"Samahani mama suzy anakuhitaji."


Aliposiikia kuhusu suzy ndipo alishtuka na kumuuliza.


"Umemjuaje?, umemjuaje suzy?."


"Mama suzy anahitaji msaada wako yupo hospital anapigania uhai wake."


Mama adam haraka walifatana na nathan lakini walipofika hospital tayari walikuta mambo yameharibika maana tayari suzy alijifungua lakini alishafariki na kumuacha mtoto wa kiume,alikua mwenye afya sana."


Mama huyo alihuzunika sana nathan pia alilia kea uchungu maana hakutegemea kumpoteza suzy kwenye kipindi kama hiko alitamani kujua mengi sana kuhusu suzy lakini tayari alishafariki....


usikose itaendelea...

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال